Wema Sepetu ameamua kuwatolea uvivu
baadhi ya watu wanaomtaka azae mtoto. Wema mwenye miaka 25 kwasasa
amesema hana mpango wa kuzaa kwa muda huu pengine kwakuwa umri wake bado
sio mkubwa ni wa msichana wa kawaida.
Wema amesema kupitia akaunti yake ya Intagram……………… “Okay…
Lets get things straight here…. See that doggie up there… You all see
her….? that is my bebi…. since i don’t have a bebi… Huyo ndo mtoto
wangu… Basi sasa nitapopost halafu nisikie kuzaa naku-block fasta…
Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child
i’m happy for you… Na wish u thea best… I don’t… Ndo Mungu
alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango
ya kuzaa hongereni… Mimi sina … I’m done… Vanilla ndo bebi wangu
kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone…
This is getting too personal sasa...”
Post a Comment