Stori: Hamida Hassan na Gabriel Ng’osha
MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo 
Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema 
kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa sababu yanapoteza muda 
bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa 
akijifungua.
Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari wetu, Lulu alisema siku hizi wanaume wengi wanawafanya wasichana watumie nguvu kutetea penzi kutokana na migogoro isiyokuwa na msingi.
“Bora nguvu zangu nizihifadhi za kuendea leba kuliko kuzipoteza katika mapenzi kwani hayo mambo yamepitwa na wakati kabisa,” alisema Lulu.

Post a Comment