Madee
amesema haya katika mahojiano tuliyofanya naye, akiwaahidi wapenzi wa
burudani ya muziki kuwa, kwa sasa wameweka kipaumbele katika kumaliza
kazi ya Dogo Janja, ambayo itafuatwa na rekodi yake, kazi ambazo
zitakuwa gumzo katika kufungia mwaka 2014.
Post a Comment