November 10 2014 Hemedy aliandika
tweet ikisema >>> ‘Mtu anasema hategemei kufanya collabo na
msanii wa bongo ikiwa ngoma zake zote kabebwa na collabo, fikiri kabla
ya kuzungumza‘
Hemedy ameandika tweet hii siku
kadhaa baada ya msanii Shetta kusema kwa sasa hafikirii kufanya collabo
na Wasanii wa Tanzania bali anafanya mpango wa kujipenyeza kimataifa
zaidi akisema ‘nimefanya
collabo nyingi na Wasanii wa Tanzania ndio maana siko tayari kufanya
tena hivyo nikawa nawaza mawili, nifanye collabo na msanii wa kimataifa
au kutoa wimbo peke yangu?
Post a Comment