Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
SEXY lady
wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na
mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa
wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake.
Kajala
alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye Paula ambapo awali
walienda kupata chakula katika mgahawa wa SamakiSamaki na kisha
waliingia ndani kwa ajili ya kufanya manunuzi mengine.
“Kwa
kweli Kajala amekuza maana yeye na mtoto wake wamelingana sasa na mara
nyingi kwa sasa hivi wanaongozana huku wakionekana kuwa na furaha wakati
wote,” alisikika mtu mmoja akizungumza.
Post a Comment