Shilole
aliyetamba na tracks kama Nakomaa na Jiji na Chuna Buzi, amesema kuwa
muziki ndiyo unaomfanya aonekane mrembo na kutanua mtaani kwa kuwa
unamwingizia fedha nyingi kuliko anazozipata katika movie.
Msanii
huyo aliyedai kwa sasa yuko jikoni anaandaa ngoma ya kufunga mwaka
itakayoingia sokoni mwezi ujao, alisema ameamua kuweka kando uigizaji
kwa muda ili akusanye fedha kwenye muziki ili baadaye aweze kutengeneza
movie yake.
Post a Comment