Jackie Cliff na Martin Kadinda |
True friendship !....Martin Kadinda ambaye ni fashion designer na pia
meneja wa Wema Sepetu wapo nchini China kumtembelea socialite maarufu
Tanzania Jackie Cliff ambaye yupo gerezani nchini humo kutokana na hatia
ya kukutwa na madawa ya kulevya.
Kadinda na Wema wameongozana na mfanyakazi wa Wema aitwaye Petitman ambaye pia ni meneja wa msanii Mirror.
Kadinda na Jackie ni marafiki wakubwa sana ambapo kabla ya Jackie Cliff kupata msala huo walikuwa mara nyingi wakionekana wote sehemu mbalimbali.

You might also like:
Post a Comment