0
Siku zilizo salia za Diamond kuwa 'baba' zina zidi kuyoyoma.Zari the Boss Lady,Mchuma wake staa huyo wa 'Mdogo mdogo' anaye tarajia kumpa mtoto wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza'Very Preginant'
 Mrembo huyo wauganda ameshare picha yake kwenye mtandao wa Facebook kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa.Jionee picha zaidi hapa chini

Post a Comment

 
Top