0
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeteza vichwa vya Habari,Baada ya Mchungaji maarufu nchini,Gwajima kukanusha kuwa si baa wa mtoto wa Flora Mbasha,na mume wa muimbaji huyo wa injili Emmanuel amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.
 Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa Muziki huo wa Injili  amesema anachojua ana mtoto mmoja wa kike anaeitwa Lizy mwenyeumri wa miaka kumi na hizo taarifa za Flora kajifungua anazisikia kwa watu wengine
"Nina mtoto mmoja,nina mtoto mmoja anaitwa Lizy anauri wa kama miaka 10 hivi.! Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua,kama amejifungua,ni jambo jema na la kumshukuru Mungu"
Mbasha alikiambia kipindi cha SunRice Times Fc

Post a Comment

 
Top