Asikwambie
mtu WANAWAKE ni miongoni mwa vitu vilivyo umbwa na Mungu ambavyo ni
vizuri sana,Na vinabaki kuwa vizuri hata kama vikienda wapi..Hata hivyo
kwa nchi nyingine wanavuka mipaka na hata kuwa kama MALAIKA!! na kama
huamini We tembelea nchi hizi tu utakubali tu...!!!
Swedeni
ndiyo nchi inayochukuliwa kuwa ndiyo nchi yenye watu WAZURI naposema
wazuri namaanisha WANAWAKE na WANAUME KWA DUNIA NZIMA...
Ukikutana
na mwanamke wa kutoka Sweedeni waweza kusema ni malaika kumbe ni
binadamu tu.Ni warefu, macho ya blue nyele za kaki,wako smart sana na
wako friendly..nani nchi yenye wasichana wenye AKILI SANA DUNIANI LOL
BRESSED!
Argentina
Ukraine
Russia
Bulgaria
Hii
nayo ni miongoni mwa nchi inayopatikana mashariki mwa ulaya..yenye
wasichana warembo sana na wembamba kidogo..wanapenda kutabasamu na
wanapenda sana vimichezomichezo hivi..wachangamfu inshort..
Thailand
Thailand
inaweza kufahamika kwa utamaduni wake,milazake safi pia wana ukarimu
sana.Sio hayo tu bali pia wasichana wake ni wazuri sana na wanaaibu
nyingi..lakini ni wazuri na wanayajua mapenzi wakisha kuzoea wako
romantiki sana mhhhh...haya wanaopenda wasichana wenye aibu nendeni
thailand..
Netherlands
Wa
dachi wanafahamika sana kwa upole na urafiki,hata hivyo wanafahamika
vizuri pia kwa kuwa na wasichana walefu na wazuri sana..Linapokuja swala
la kuwa na wasichana WAKARIMU basi hapo umefika ...
Lebanon
ulimwengu
wa kiarabu na wasichana wazuri vinaenda sambamba sana..Na linapokuja
suala la wasichana wazuri ,basi utawapata wengi huko Lebanon,kama
hawatakukamata kwa maumbo namba nane basi macho yao mazuri ni siraha
tosha kabisaa hahahaaaa..
India
Hivi
unawezaje kumalizia list yote bila kuiweka india ndani yake..unaweza
kusababisha maandamano ya watu kwenye ofisi zetu wakipinga hii list
hhahahaaaa..
Uzuri wa wasichana wa India sio tu kuwa ni warembo bali pia wana maadili ya KIDINI sana..
Post a Comment