
Baada
ya idris kushinda ule mtonyo katika mashindano ya bba kule kwamadiba
davido akatoa kauli kwamba ‘they cheat again’ kwaupande wake Diamond
ilimuuma sana hiyo kauli na kuhisi kwamba hata kwenye tuzo za Channel O
pia inaonekana walicheat pia
usiku
huo huo wajana Diamond alitajwa kuwa mshindi wa Future Awars ndipo
Diamond alipoamua kuupload ile picha ya tuzo nakuandika haya “Thanx god,
we have cheated another one on The Future Awards Africa in Lagos
Nigeria… #SameDay #SameNight Thank you aALLAH!”

Post a Comment