Msanii mkongwe wa sinema za kitanzania maarufu Bongo Movie Nuru Nasoro maarufu kama Norah anatarajia kutoka na muvi yake mpya hivi kaaaaribuni ambayo ameifanyia jijini Nairobi nchini Kenya...hapa ametupa vipande vya picha..atavirusha hivi karibuni,ameamua kubadilisha mazingira
kwasababu ya kutaka changamoto katka soko la filamu Afrika Mashariki..Filamu hii kwa mujibuwa Norah itatoka wakati wowote kuanzia sasa ambapo amekataa kutaja jina la filamu hii na kwamba wapo waigizaji maarufu na wakongwe huku akisema imejaa vipaji vingi huku akitamba hii ni moja ya filamu zake bora alizowahi kucheza..pia amewaomba sana mashabiki wake wote bila kujali walipo waipokee filamu hii kama mlivyopokea kazi zake siku zote...
Home
»
» Unlabelled
» MSANII NORAH KURUDI NA MUVI MPYAAA...NI YA UKWELIII..ANGALIA HAPA MAANDALIZI YAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment