.
‘Girfriend‘ ni movie ya kwanza
iliyoshirikisha Wasanii mbalimbali wa Tanzania kama Ay, King GK na T.I.D
na ikafanikiwa kuvunja rekodi ya mauzo japo kwa wakati huo mwamko wa
watu kununua movie za bongo haukuwa mkubwa kama sasa.
Good news ninayotaka kukupa ni kwamba sasa hivi Khalid Mohamed aka TID yuko katika maandalizi ya movie yake mpya ‘Girfriend 2‘ ambayo katika movie hiyo amehusishwa msanii wa movie Salma Tamim maarufu kama Sabby Angel.

Sabby Angel ambaye ameshawahi kuigiza kwenye movie kadhaa za Bongo Movie zikiwemo Moto wa Radi, Hard Price, Siri ya Giningi pamoja na kuigiza,Sabby pia ni mwimbaji na ataonekana kwenye video ya wimbo wa TID na Jay Moe ‘chumvini’.
.
Post a Comment