Mambo
ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa
Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya
Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.
Hii
imekuja siku chache baada ya Shilole kuwashukia wanaomsema vibaya
mpenzi wake kuwa ni mtoto, anambembenda kwasababu wapo kama mtu na
mwanae,mara kijana anapenda kulelewa.Ndio
Shilole alijibu kuwa huyo si mtoto kwani mapenzi anayompa chumbani ni
mazito na angekuwa mtoto asingekuwa analilia mapenzi bali angekuwa
analilia nyonyo kwa mama ake.

Baada
siku kadhaa ndio kijana huyo akaibuka na tatoo ya hiyo kudhihirisha
mapenzi kwa mwanadafada huyo. Hii ni tatoo ya pili Nuhu kujichora baada
ya ile ya kwanza yenye jina la ShishiBaby.
But hatuombei waachane ila siku wakiachana sijui itakuwaje?
Post a Comment