Siku zilizo salia za Diamond kuwa 'baba' zina zidi kuyoyoma.Zari the
Boss Lady,Mchuma wake staa huyo wa 'Mdogo mdogo' anaye tarajia kumpa
mtoto wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza'Very
Preginant'

Mrembo huyo wauganda ameshare picha
yake kwenye mtandao wa Facebook kitumbo chake kinavyozidi kuwa
kikubwa.Jionee picha zaidi hapa chini


Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.