0
Kipa chipkizi wa Simba Peter Manyika Jr anadaiwa kukamatika katika anga za mahaba ya mtoto wa mjini anayejulikana kwa jina la Naima,ambaye ivi karibuni alikuwa na bifu na Wema Sepeyu akidaiwa kumtaifisha bwana ake anayejulikana kama CK.
Manyika ameonekana mara kwa mara akiwa na mrembo huyo na tukio la kushangaza ni usikuwa kuamkia February 3 aliposti video aliwa na Manyika kwenye mkono wake
Manyika imedaiwa amekuwa akionekana mara kwa mara na mrembo huyo nasasa imekuwa gumzo kwa watu wakaribu na wawili hao,mara kaadhaa Naima amekuwa akitamba na kuonyesha picha mbalimbali za kimahaba akiwa na Manyika huku Manyika naye akionekana mara kwa mara akiendesha Gari ya Naima aina ya Toyota Raum,na marafiki zake wakimtania ameingia kwenye Penzi la mwarabu wa mjini

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top
Enjoy this page? Like us on Facebook!)