Staa
 anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’ 
hivi k aribuni alijikuta katika wakati ngumu baada ya kuvamiwa na paka 
na kumng'ata kwenye mguu.Sosi wa habari hii alisema kuwa Paka yule 
alikuwa eneo la Methadone Mwananyamala Hospitali ambapo mwanamuziki huyo
 anakunywa dawa. Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘Nshumu nshumu’, Rehema Chalamila ‘Ray C’.
“Alipopita
 Ray C alirukiwa na paka na kumgangania mguu alijaribu kumzuia lakini 
hakufanikiwa kitendo kilichozua utata kwani bila watu kumsaidia paka 
yule asingetoka mguuni kwake”, alisema Sosi.
Aidha Sosi huyo alisema kuwa baada ya paka huyo kumvamia mambo yake yamekuwa magumu ni mtu ambaye anaomba hata mia tano na kwa sasa amefunga mghahawa wake.
Aidha Sosi huyo alisema kuwa baada ya paka huyo kumvamia mambo yake yamekuwa magumu ni mtu ambaye anaomba hata mia tano na kwa sasa amefunga mghahawa wake.
“
 Yaani Ray C kwa sasa anatia aibu kwani maisha yamemharibikia mpaka watu
 wanadai kuwa huenda yule paka hakuwa wa heri, amekuwa mlevi anavuta 
sigara ovyo mpaka mwenye nyumba wake hamtaki tena nadhani mkataba wake 
umesitishwa”, alisema Sosi.
Baada
 ya habari hizi kutua kwenye meza ya Ijumaa mwandishi alimwendea hewani 
Ray C ambaye alikiri kuvamiwa na paka na kudai kuwa yeye haamini kama 
unaweza kuwa ni uchawi anahisi alimkanyaga mkia bila kujua.
“Yaani
 watu wanapenda kuongea sana mimi kwa sasa mambo yangu yanaenda vizuri 
tu si mnaona hata nyimbo nimetoa, paka ni sihu ya siku nyingi mpaka 
nishapona jeraha, duka nimefunga kwasababu nataka kufungua duka kubwa la
 nguo na nusu yake nitafungua ofisi nyingine, ” alisema Ray C Aidha Ray C
 alipinga vikali suala la kuvuta sigara na kudai kuwa watu wanaompakazia
 wana nia ya kumharibia mambo yake kwasababu kwa sasa wameona ana 
maendeleo.
 
Post a Comment