Akionekana kama amesinzia kwa hisia kali mbele ya bendi ya muziki ya B
 Band inayomilikiwa na msanii mkongwe, Banana Zorro, picha hii ya 
mwingizaji Irene Uwoya  ilizua maswali mengi kuwa anaonekana jama 
alikuwa amechapa kilaji sana na kulewa ndio akapandisha mizuka hii au ni
 mapenzi  na mahaba yake na wimbo au nyimbo  ambazo zilikuwa zikipigwa 
na bendi hiyo.
Majibu ya maswali hayo yote anayo Uwoya mwenye, lakini waswahili wanasema picha inazungumza. Wewe je unamuonaje hapo?? Awali akionekana yupo sawa sawa alipiga picha akiwa na Banana kama unavyoiona hapo juu.
 
Post a Comment