Muigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na shosti yake Wema Sepetu.
Ndugu hao ambao walizungumza na gazeti hili walidai kwamba 
wamesikitishwa na suala la muigizaji huyo kupata mimba huku akijua 
kwamba yeye ni mke wa mtu na ni kosa kubwa kwa mwanamke wa dini ya 
Kiislamu kupata mimba nje ya ndoa.
“Ni lazima tulisimamie kidete, haiwezekani mwanamke kaolewa halafu 
anapata mimba nje ya ndoa, hili suala tutalisimamia na lazima tumfikishe
 Bakwata,” alisema mmoja wa ndugu.
Alipotafutwa Aunt Ezekiel kulizungumzia hilo, alisema;
“Wanifikishe Bakwata kwa lipi? Kwani nimeolewa na ndugu au Demonte? Hawawezi kunifikisha Bakwata hivyo wasinifuatilie.”
“Wanifikishe Bakwata kwa lipi? Kwani nimeolewa na ndugu au Demonte? Hawawezi kunifikisha Bakwata hivyo wasinifuatilie.”
 
Post a Comment