MWANAMUZIKI wa
 Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa  watu wanaomsema vibaya 
kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ 
wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema 
kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea 
lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi lakini mimi ananipiga kimahaba, wanaosema kuwa mpenzi wangu ananipiga washindwe, watuache kwa raha zetu,” alisema Shilole.
-bongoclan
 
Post a Comment