Hii imetokea jana katika tamasha maalum
la kituo kipya cha kazi cha Gardner E.FM ambapo Gardner alipanda
jukwaani kujitambulisha mashabiki waliokuwepo wakamuuliza shemeji Jaydee
yuko wapi? Akawajibu i am single boy now kisha akaomba awekewe nyimbo
ya Single boy ya Ali Kiba na kuicheza jukwaani huku akimpandisha
jukwaani shabiki wa kike na kumwambia amvue tishet yake kimahaba
kuthibitisha usingo boy wake ambapo demu huyo alimvua kwa staili hiyo
gardner huku ukumbi ukilipuka kwa shangwe.
-udakuspecially
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment