Ni baada ya huyu
mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri East afica
nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na “sukari ya warembo” licha ya kupanda ndege moja wakija
Tanzania na kupost picha zao instagram chanzo kimesema binti huyu na
chibu walifika wote airport ili kujiandaa na safarit ya kuja tz. awali
inasemekana wawili hao walikua karibu kitu kilichofanya wapeane kampani
waje na ndege tarehe moja, ratiba moja, kwa siti moja, Hii imekuja
wakati ambao kuna tetesi kuwa Dai Ameachana na Mpenzi wake Wema Sepetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment